SAFARI YAKO IJAYO INA ANZIA HAPA
Chagua sehemu ya kwenda, Sisi tutapanga Kila Kitu
MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA
Tumekujibu maswali muhimu kuhusu vifurushi, bookings, malipo na safari yako
SOUTH AFRICA
-
Kifurushi kinaweza kujumuisha tiketi ya ndege, hoteli, usafiri wa uwanja wa ndege, ziara na shughuli mbalimbali kulingana na kifurushi ulichochagua. Huduma zote zilizojumuishwa zitaonyeshwa wazi kwenye kifurushi.
-
Inategemea kifurushi. Kama huduma ya visa imejumuishwa, itaelezwa wazi. Timu ya Trip Champions inaweza kusaidia katika maandalizi ya maombi na nyaraka, lakini uamuzi wa visa hufanywa na mamlaka husika.
-
Inategemea kifurushi. Kama tiketi imejumuishwa, taarifa za ndege na masharti ya mizigo zitaonyeshwa. Chaguo la ndege au kuongeza mzigo linaweza kuwepo kulingana na tiketi.
-
Hoteli, aina ya chumba na huduma za chakula vitaonyeshwa kwenye maelezo ya kifurushi au ratiba ya safari.
-
Shughuli zilizojumuishwa zitaorodheshwa kwenye kifurushi. Unaweza pia kuomba shughuli za ziada kulingana na muda, upatikanaji na gharama.
-
Ndiyo. Unaweza kuweka booking ukiwa peke yako, kwa wawili, familia au kundi. Bei inaweza kubadilika kulingana na idadi ya wasafiri na mpangilio wa vyumba.
-
Kiasi cha kuanzia na mpango wa malipo hutegemea kifurushi. Baadhi ya safari huruhusu malipo ya awali na kumalizia baadaye.
-
Ndiyo. Baada ya malipo na kuthibitishwa kwa huduma, utapokea confirmation na taarifa muhimu za safari yako.
DUBAI
-
Kulingana na kifurushi, inaweza kujumuisha ndege, hoteli, airport transfer, ziara na shughuli mbalimbali. Kila huduma iliyojumuishwa itaonyeshwa kwenye kifurushi.
-
Inategemea kifurushi. Kama visa imejumuishwa, itaonyeshwa wazi. Tunasaidia kwenye mchakato wa maombi pale ambapo huduma hiyo inapatikana.
-
Inategemea kifurushi na aina ya tiketi. Taarifa kuhusu ndege na kiwango cha mizigo zitaonyeshwa kwenye maelezo ya safari.
-
Jina la hoteli, kiwango chake, aina ya chumba na mpangilio wa chakula vitaonyeshwa kwenye kifurushi au ratiba ya safari.
-
Ziara na shughuli zilizojumuishwa zitaonyeshwa kwenye kifurushi. Shughuli za ziada zinaweza kuongezwa kulingana na upatikanaji na gharama.
-
Ndiyo. Unaweza kufanya booking kwa mtu mmoja, wawili, familia au kundi. Bei inaweza kutofautiana kulingana na idadi ya wasafiri
-
Item description
NDEGE & MIZIGO & MALAZI
-
Kwa Safari tunazo andaa sisi, Ndio tunajumuisha tiketi ya ndege kwenda na kurudi. Lakini unaweza kununua tiketi kivyako ukitaka.
-
Kwa safari binafsi, Ndiyo unaweza, pale ambapo chaguo mbalimbali za mashirika ya ndege zinapatikana. Tunaweza kukusaidia kuchagua kulingana na ratiba, mizigo na bajeti yako.
-
Inategemea shirika la ndege na aina ya tiketi. Kiasi cha mzigo kinachoruhusiwa kitaonyeshwa kwenye maelezo ya tiketi yako.
-
Ndiyo, kulingana na masharti ya shirika la ndege na aina ya tiketi. Gharama ya ziada inaweza kutumika.
-
Kwa safari ya binafsi unaweza. Baadhi ya tiketi zinaruhusu kubadilisha tarehe, kulingana na masharti ya tiketi, upatikanaji na ada za mabadiliko.
-
Jina la hoteli, aina ya chumba na mpangilio wa malazi vitaonyeshwa kwenye ratiba ya safari yako. Ila Ubora wa hotel zetu ni nyota 4.
-
Ndio Chakula cha hasabui kinakuepo kwenye package
SAFARI & MSAADA
-
Ndiyo, shughuli zote zilizo kwenye package zimejumuishwa. Zitaonyeshwa wazi kwenye ratiba (itinerary) au kwenye maelezo ya package
-
Ndiyo, kulingana na upatikanaji, muda na gharama ya shughuli hiyo.
-
Inategemea kifurushi utakachochagua. Maelezo ya safari yataonyesha kama ni safari ya kundi au binafsi. Japo Unaweza kujoin Safari za Group au tukakuandalia ya kwako binafsi.
-
Unaweza kubadilisha tarehe kwa safari binafsi, kulingana na masharti na upatikanaji wa flight na hotel.
Lakini kwa safari za group, tarehe huwa fixed na huwezi kubadilisha tarehe ya safari. ✈️
-
Ndiyo. Timu ya Trip Champions itakusaidia katika uratibu na masuala yanayohusiana na huduma ulizobook, kulingana na masharti ya safari yako.
WHERE DO YOU WANT TO GO
“UNATAKA KWENDA WAPI?”
DUBAI
Explore Dubai luxury, beaches and unforgettable city experience with flights, accommodation and activities planned for you.
S.AFRICA
Discover South Africa wildlife, breathtaking landscape, vibrant cities and adventure with flights, accommodation and unforgettable experiences planned for you
TURKEY
Explore Turkey rich history, beautiful coastlines and unforgettable cities and adventure with flights, accommodation and unforgettable experience planned for you.
THAILAND
Explore beautiful beaches, vibrant cities and unforgettable island experience with flights, accommodation and unforgettable experiences planned for you
PLAN YOUR TRIP/PANGA SAFARI YAKO.
Tell us where you want to go and we will help you plan the rest.{Tuambie unakotaka kwenda na tutakupangia mengine}
EXPERT TRAVEL PLANNING
We help you plan your trip with the right destinations, experiences and arrangements all in one place.
WHY CHOOSE US
PERSONALIZED EXPERIENCE
We help create trips around what you want to see, do and experience.
RELIABLE SUPPORT
From planning to your journey, our team is here to make the process simple and stress free.
HOW IT WORKS
01.Choose your destination.
Pick where you want to go from our available destinations.
02.Tell us your plan
Send us your travel dates, number of travelers and preference.
03.We plan the rest.
We’ll help arrange the details and create a trip that works for you.
