SAFARI YAKO IJAYO INA ANZIA HAPA
Chagua sehemu ya kwenda, Sisi tutapanga Kila Kitu
MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA
Tumekujibu maswali muhimu kuhusu vifurushi, bookings, malipo na safari yako
BOOKING & MALIPO
-
Bei kwenye packages zetu huonyeshwa kulingana na aina ya room sharing. Kwa mfano, kama bei elekezi ya package ni:
Per Adult Sharing – USD 1,930 per person
Single Adult – USD 2,405 per person
Child Sharing – USD 1,550 per child
Maana yake ni:
Per Adult Sharing – USD 1,930 per person
Hii inamaanisha mtu mzima mmoja akishiriki chumba na mtu mwingine mzima, kila mmoja analipa USD 1,930.
Mfano:
Adults 2 wakishiriki chumba:
USD 1,930 × 2 = USD 3,860 kwa watu 2.Single Adult – USD 2,405 per person
Hii ni kwa mtu mzima anayehitaji chumba chake mwenyewe, bila kushare na mtu mwingine. Kwa hiyo analipa USD 2,405.
Child Sharing – USD 1,550 per child
Hii ni bei inayotumika kwa mtoto anayeshiriki chumba na watu wazima 2.
Mfano:
Adults 2 = USD 1,930 × 2 = USD 3,860
Child 1 = USD 1,550
Jumla = USD 5,410 kwa watu 3.Pia, kama mpangilio ni Adult 1 + Child 1 wakishiriki chumba, bei ya mtoto inaweza kuwa tofauti kulingana na hotel na room arrangement.
-
Kwa packages zetu, Child ni mtoto mwenye umri wa miaka 2–11.
Muhimu: Umri unaangaliwa kuanzia siku ya kuanza safari hadi siku ya kurudi. Ikiwa mtoto anatimiza miaka 12 wakati wa safari, masharti ya Adult yanaweza kutumika kulingana na huduma husika.
👶 Infant: Chini ya miaka 2
🧒 Child: Miaka 2–11
👤 Adult: Kuanzia miaka 12 na kuendelea
Kwa upande wa hotel na ndege, kwa kawaida msafiri mwenye miaka 12+ huhesabiwa kama Adult.
-
Chagua safari unayotaka, jaza taarifa zinazohitajika, kisha fuata hatua za booking na malipo. Baada ya malipo kuthibitishwa, utapata huduma ya safari yako
-
Kiasi cha kuanza booking kitaonyeshwa kwenye kifurushi. Baadhi ya vifurushi vinahitaji malipo kamili, wakati vingine vinahitaji malipo ya awali na salio kulipwa baadaye.
-
Ndiyo, kwa vifurushi vinavyoruhusu malipo ya awamu. Ratiba ya malipo itaelezwa kabla ya kuthibitisha booking yako.
-
Hapana. Nafasi na bei haviwezi confirmed mpaka malipo yanayohitajika yafanyike ndo booking ithibitishwe.
-
Ndiyo. Unaweza kulipa kwa Shilingi za Tanzania au Dola za Marekani pale ambapo chaguo hilo linapatikana. Kiasi na mabadiliko ya dola itaonyeshwa wakati wa booking.
VISA & NYARAKA
-
Si kila package au nchi inaitaji kuwa na VISA. Gharama ya visa itajumuishwa, kama package inaitaji VISA.
-
Ndiyo. Tunatoa msaada kwenye mchakato wa maombi ya visa kwa destinations zinazohitaji visa, kulingana na huduma inayopatikana.
-
Hapana. Uamuzi wa kutoa visa hufanywa na ubalozi au mamlaka husika. Tunaweza kukusaidia kuandaa nyaraka na maombi yako kwa usahihi.
-
Inategemea masharti ya kughairi na kurejesha fedha ya safari, tiketi, hoteli au huduma nyingine ulizobook. Sio kila huduma inarejeshewa fedha.
-
Inategemea destination na aina ya visa. Tutakupa orodha ya nyaraka zinazohitajika kulingana na safari na visa unayoomba.
-
1. Je, Watanzania wanahitaji visa kwenda Dubai?
Ndiyo. Wasafiri wenye passport ya Tanzania wanahitaji kupata UAE/Dubai Tourist Visa kabla ya kusafiri, isipokuwa kama wana hadhi nyingine inayowapa exemption.
2. Ni nyaraka gani zinahitajika kwa mtu mzima?
Kwa kawaida utahitaji:
Passport halali kwa angalau miezi 6 kutoka tarehe ya safari
Picha ya passport yenye background nyepesi
Nakala ya passport
Nakala ya cover ya passport
Tiketi ya kwenda na kurudi
Booking ya hoteli
Nyaraka nyingine endapo zitaombwa na mamlaka husika
Mahitaji yanaweza kutofautiana kulingana na aina ya visa na hali ya mwombaji. (Emirates)
3. Mtoto anahitaji visa yake mwenyewe?
Ndiyo. Kila msafiri, pamoja na mtoto na mtoto mchanga (infant), anahitaji nyaraka zinazohitajika za kuingia UAE. (Emirates)
4. Ni nyaraka gani zinahitajika kwa mtoto?
Kwa mtoto tunahitaji kwa kawaida:
Passport yake mwenyewe yenye uhalali wa angalau miezi 6
Picha ya passport
Nakala ya passport
Birth Certificate
Uthibitisho wa uhusiano na mzazi/mlezi pale unapohitajika
Nyaraka nyingine endapo zitaombwa
Kwa maombi yanayofanyika kupitia Emirates, birth certificate ya mtoto na proof of relationship vinaelezwa kama mahitaji kwa minors. (Emirates)
5. Mtoto anaweza kusafiri bila visa kwa sababu ni mdogo?
Hapana. Umri mdogo hauondoi hitaji la kuwa na nyaraka zinazohitajika za kuingia UAE. Mahitaji yanawahusu wasafiri wote, wakiwemo watoto na infants. (Emirates)
6. Passport inatakiwa iwe na validity ya muda gani?
Passport inapaswa kuwa na validity ya angalau miezi 6 kutoka tarehe ya safari/kuingia UAE. (Emirates)
-
Hapana. Raia wa Tanzania wenye passport ya kawaida (ordinary passport) hawahitaji visa kwa safari za utalii za hadi siku 90 kwa mwaka. (DIRCO)
Je, mtoto anahitaji visa?
Hapana. Mtoto mwenye passport ya Tanzania pia anafaidika na msamaha wa visa, kwa masharti ya kuingia nchini yanayotumika kwa wasafiri wote.
Passport inatakiwa iwe na muda gani?
Ni muhimu kusafiri na passport halali na yenye kurasa tupu zinazohitajika kwa ajili ya mihuri ya uhamiaji. (eHome)
-
🇹🇷 Visa ya Utalii – Uturuki
Mahitaji:
Passport original na copy, iwe na validity ya angalau miezi 6 kutoka tarehe ya kuondoka kwenda Uturuki.
Picha 2 za passport size (35×45mm), background nyeupe, zisizozidi miezi 6.
Bank statement ya miezi 3, yenye cash flow na stamp ya benki, ikionyesha uwezo wa kugharamia safari.
Nyaraka za biashara kama una kampuni/biashara: Business License, TIN, BRELA Extract/Memorandum, n.k.
Kama umeajiriwa: barua ya utambulisho kutoka kazini, na kama kampuni inakugharamia, sponsorship itajwe na barua igongwe muhuri.
Flight reservation na Hotel reservation.
Kama unasafiri kwa sponsorship: sponsor letter iliyothibitishwa pamoja na ID, bank statement na chanzo cha kipato cha sponsor.
Kama mtoto chini ya miaka 18 anasafiri na mzazi mmoja au bila wazazi: Consent Letter inahitajika.
Kama mtoto anaomba pamoja na wazazi: Birth Certificate.
Visa fee – USD cash (2010 series).
Muhimu: Kama mwombaji si raia wa Tanzania, anatakiwa kuambatanisha residence permit halali.
-
1. Nyaraka za msingi
Passport halali, ikiwa na validity ya angalau miezi 6 kutoka tarehe ya kurudi + copy.
Picha 1 ya passport size, 3.5 × 4.5 cm, background nyeupe. Picha iwe soft copy kutoka studio kupitia email/WhatsApp, isiwe scanned.
Flight reservation – Trip Champions tunatoa.
Hotel reservation – Trip Champions tunatoa.
Uthibitisho wa anwani ya nyumbani, mfano DHL bill au house contract.
TIN Certificate.
Bank statement ya miezi 3, iliyocertify, ikiwa na minimum TZS 4,000,000 kwa mtu. Statement ipatikane angalau siku 4 kabla ya submission.
2. Kama unaajiriwa
Employment letter
Copy ya ID ya anayesaini barua
Employment contract + copy
Salary slips za miezi 3
Employment letter inapaswa kuonyesha jina la mwajiri na mwajiriwa, address, simu, nafasi ya anayesaini, job position, mshahara wa mwezi na tarehe za safari.
3. Kama una biashara / umejiajiri
BRELA Certificate
Business License
Memorandum & Articles of Association
TIN Certificate
Tax Clearance Certificate
Company bank statement ya miezi 3.
4. Kama unasafiri na familia
Covering letter ya sponsorship ya safari ya familia
Marriage certificate
Birth certificates
Certification inaweza kuhitajika.
5. Muhimu
Nyaraka zote lazima ziwe kwa Kiingereza.
Employment letter, Business License na BRELA zinatakiwa kuwa certified na Ministry of Foreign Affairs au Lawyer attestation.
Copies zote ziwe clear na coloured.
Processing time: siku 15–20 za kazi.
Kwa applicant wa kawaida wa utalii, msingi mkubwa ni: Passport + picha + bank statement + TIN + proof of address + employment/business documents + flight & hotel reservation.
-
Mtanzania haitaji VISA kuingia Malysia au Singapore.
-
1. Nyaraka za msingi
Passport – iwe halali kwa angalau miezi 3 baada ya siku ya mwisho ya kukaa Schengen.
Kama si Mtanzania: Residence Permit na Re-entry Permit ya Tanzania.
Schengen Visa Application Form – ijazwe kikamilifu na kusainiwa.
Picha 2 zinazofanana, passport size/biometric, background yenye mwanga, na zisizozidi miezi 3.
Travel Medical Insurance – minimum cover ya EUR 30,000 kwa muda wote wa safari.
Return flight reservation.
Proof of financial means / employment pamoja na salary slips za miezi 3 iliyopita.
Introduction letter.
Invitation letter, inapohitajika.
Kwa mtoto chini ya miaka 18 anayesafiri bila wazazi: Birth Certificate + Parental Consent.
💶 GHARAMA
Visa fee: EUR 90 (takriban USD 110), lakini gharama inaweza kubadilika.
TLS service fee kwa France na Germany: EUR 80 (takriban USD 100), inalipwa online wakati wa appointment.
Trip Champions service fee: USD 75 kwa mtu.
Document inaonyesha overall cost USD 285 kwa mtu.
⏳ MUDA WA PROCESS
Application inapaswa kuwasilishwa angalau siku 15 kabla ya safari, lakini si zaidi ya miezi 3 kabla ya tarehe ya kuingia Schengen.
Processing inaweza kuchukua siku 20–40 za kazi au zaidi.
⚠️ MUHIMU
Visa approval au refusal ni uamuzi wa Consulate/Embassy. Trip Champions ni facilitator na haiwezi kuwajibika kwa kuchelewa au kukataliwa kwa visa. Visa fee na charges zilizolipwa hazirefundwi. Requirements na fees zinaweza kubadilika bila taarifa.
NDEGE & MIZIGO & MALAZI
-
Kwa Safari tunazo andaa sisi, Ndio tunajumuisha tiketi ya ndege kwenda na kurudi. Lakini unaweza kununua tiketi kivyako ukitaka.
-
Kwa safari binafsi, Ndiyo unaweza, pale ambapo chaguo mbalimbali za mashirika ya ndege zinapatikana. Tunaweza kukusaidia kuchagua kulingana na ratiba, mizigo na bajeti yako.
-
Inategemea shirika la ndege na aina ya tiketi. Kiasi cha mzigo kinachoruhusiwa kitaonyeshwa kwenye maelezo ya tiketi yako.
-
Ndiyo, kulingana na masharti ya shirika la ndege na aina ya tiketi. Gharama ya ziada inaweza kutumika.
-
Kwa safari ya binafsi unaweza. Baadhi ya tiketi zinaruhusu kubadilisha tarehe, kulingana na masharti ya tiketi, upatikanaji na ada za mabadiliko.
-
Jina la hoteli, aina ya chumba na mpangilio wa malazi vitaonyeshwa kwenye ratiba ya safari yako. Ila Ubora wa hotel zetu ni nyota 4.
-
Ndio Chakula cha hasabui kinakuepo kwenye package
SAFARI & MSAADA
-
Ndiyo, shughuli zote zilizo kwenye package zimejumuishwa. Zitaonyeshwa wazi kwenye ratiba (itinerary) au kwenye maelezo ya package
-
Ndiyo, kulingana na upatikanaji, muda na gharama ya shughuli hiyo.
-
Inategemea kifurushi utakachochagua. Maelezo ya safari yataonyesha kama ni safari ya kundi au binafsi. Japo Unaweza kujoin Safari za Group au tukakuandalia ya kwako binafsi.
-
Unaweza kubadilisha tarehe kwa safari binafsi, kulingana na masharti na upatikanaji wa flight na hotel.
Lakini kwa safari za group, tarehe huwa fixed na huwezi kubadilisha tarehe ya safari. ✈️
-
Ndiyo. Timu ya Trip Champions itakusaidia katika uratibu na masuala yanayohusiana na huduma ulizobook, kulingana na masharti ya safari yako.
WHERE DO YOU WANT TO GO
“UNATAKA KWENDA WAPI?”
DUBAI
Explore Dubai luxury, beaches and unforgettable city experience with flights, accommodation and activities planned for you.
S.AFRICA
Discover South Africa wildlife, breathtaking landscape, vibrant cities and adventure with flights, accommodation and unforgettable experiences planned for you
TURKEY
Explore Turkey rich history, beautiful coastlines and unforgettable cities and adventure with flights, accommodation and unforgettable experience planned for you.
THAILAND
Explore beautiful beaches, vibrant cities and unforgettable island experience with flights, accommodation and unforgettable experiences planned for you
PLAN YOUR TRIP/PANGA SAFARI YAKO.
Tell us where you want to go and we will help you plan the rest.{Tuambie unakotaka kwenda na tutakupangia mengine}
EXPERT TRAVEL PLANNING
We help you plan your trip with the right destinations, experiences and arrangements all in one place.
WHY CHOOSE US
PERSONALIZED EXPERIENCE
We help create trips around what you want to see, do and experience.
RELIABLE SUPPORT
From planning to your journey, our team is here to make the process simple and stress free.
HOW IT WORKS
01.Choose your destination.
Pick where you want to go from our available destinations.
02.Tell us your plan
Send us your travel dates, number of travelers and preference.
03.We plan the rest.
We’ll help arrange the details and create a trip that works for you.
